Trump apingwa tena juu ya sheria ya uhamiaji

Kumekuwa na changamoto zaidi za kisheria dhidi ya marufuku ya Rais Donald Trump kuhusu wahamiaji kutoka nchi sita za Waislam. Siku moja baada ya Jimbo la Hawaii kufungua kesi, Jimbo la Washington nalo linafungua kesi likiungwa mkono na New York, Massachusetts na Oregon.

Washington waliongoza mapambano dhidi ya tamko la kwanza la Rais Trump na walishinda baada ya Jaji wa mahakama kuu kukubaliana na zuio la hatua hiyo kwa nchi nzima. Sasa mwanasheria wa jimbo hilo, Bob Ferguson amemuomba Jaji kuendeleza msimamo huo hata kwa hatua ya pili ya Rais kwa kuwa bado inakiuka Katiba.

86 Comments

  1. “I have learned quite a few important things through your post. I’d also like to convey that there may be a situation where you will apply for a loan and never need a cosigner such as a National Student Support Loan. But if you are getting financing through a regular financial institution then you need to be made ready to have a cosigner ready to make it easier for you. The lenders will probably base their very own decision on the few elements but the most important will be your credit ratings. There are some financial institutions that will in addition look at your job history and make up your mind based on that but in many cases it will be based on on your credit score.”

  2. “Hello there! Do you use Twitter? I’d like to follow you if that would be okay. I’m absolutely enjoying your blog and look forward to new posts.”

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*