Askofu: Viongozi wasibezwe kuhusu vita ya ‘unga’

ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo, amewakumbusha Watanzania juu ya umuhimu ya kuwa na heshima na kujiepusha na lugha za kukatisha tamaa na kubeza hatua mbalimbali zinazofanywa na viongozi walioamua kutumia muda wao kufanya mambo yenye maslahi kwa taifa, ikiwemo kupambana na dawa za kulevya.

Kauli hiyo imetokana na kuwepo matukio ya hivi karibuni yaliyoanza kujitokeza baada ya kuanza kwa operesheni ya kusakwa watu wanaosafirisha, kuuza na kutumia dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali nchini.

Alisema, vita dhidi ya dawa za kulevya si kazi ya mtu mmoja au serikali, bali kila mtu kwa nafasi yake ni vema akashiriki moja kwa moja katika mapambano hayo ambayo kwa kiasi kikubwa nchi imepata hasara ya kupoteza nguvu kazi ya taifa kuanzia ngazi ya familia na kupoteza vijana wengi ambao ni nguzo kubwa kiuchumi.

Askofu Ndimbo aliyasema hayo wakati akizungumza na gazeti hili juu ya vita iliyoanzishwa na Rais John Magufuli ya dawa za kulevya nchini.

Alisema, dawa za kulevya licha ya kuwa ni dhambi kubwa mbele ya Mungu lakini pia zimechangia umaskini kwa baadhi ya familia nchini kwani mtu anapotumia hukosa nguvu na uwezo wa kufanya kazi za kujiletea maendeleo badala yake anakuwa tegemezi kwa familia husika na taifa licha ya kuwa na nguvu na akili ya kumwezesha kujitafutia kipato cha kila siku.

Alisema, msako unaoendelea dhidi ya dawa hizo ni mzuri kwani lengo la serikali ni kuona watu wake wanaendelea kuwa na afya njema na wenye mchango kwa maendeleo ya nchi.

Alisema serikali hulazimika kutumia fedha nyingi kwa ajili ya kuhudumia mtumiaji, fedha ambazo zingewza kupelekwa katika miradi mingine ya kiuchumi na wananchi wangeweza kuondokana na kero mbalimbali zilizopo katika maeneo yao kama vile upungufu wa dawa katika zahanati na hospitali, maji safi na salama na hata katika miundombinu ya bara bara.

Alisema dawa za kulevya ni chanzo cha ongezeko la uhalifu kwani mtumiaji mara anapotumia huwa na uamuzi mbaya ambao kwake huuona ni sahihi lakini mbele ya jamii ni kero.

Alitaka kila mmoja kuhakikisha anaungana na viongozi wa serikali walioamua kujitolea nguvu zao katika mapambano hayo na wasiwakatishe tamaa.

Alisema, tabia ya dharau, lugha za kejeli na kubeza kazi zinazofanywa na viongozi wa serikali iliyopo madarakani kwa sasa hazina nafasi kwa sababu haziwezi kusaidia nchi changa kama Tanzania ambayo bado inakabiliwa na matatizo mengi.

Hata hivyo, aliwaomba viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa kutoogopa vitisho na kutokatishwa tamaa na maneno ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakionekana dhahiri kupinga utekelezaji wa mpango huo kwa maslahi yao.

Alisema wao kama viongozi wa kidini hawajashindwa na wala hawatashindwa, badala yake wanaendelea kuhubiri na kueleza waumini maagizo ya Mungu hadi pale binadamu wote watakapoacha kufanya dhambi ili dunia ibaki sehemu salama kwa maisha ya binadamu.

Aliwataka viongozi, kuwadharau watu hao na kupokea kashfa hizo kama chachu katika kuongeza mapambano dhidi ya vita ya dawa za kulevya na wakumbuke kuwa watu wanaopinga operesheni hiyo ni sehemu ndogo ya wananchi kwani kuna kundi kubwa la Watanzania liko nyuma yao. Alisema wao kama viongozi wa dini wataendelea kuunga mkono juhudi hizo.

104 Comments

 1. You’ve been working hard lately. All that stress has got to be eating at you. Why not take a break and enjoy some cam girls? There’s plenty of them to enjoy at http://www.camgirl.pw It’s wall to wall babes at this site. You’ll know that right away after your first visit.

 2. Hmm it seems like your site ate my first comment (it was super long) so I guess I’ll just sum it up what I had written and say, I’m thoroughly enjoying your blog.
  I too am an aspiring blog blogger but I’m still new to the
  whole thing. Do you have any points for novice blog writers?
  I’d genuinely appreciate it.

 3. Afte I originally commented I appear to have clifked on the -Notify me when new comments
  are added- chedckbox and now every tme a comment is
  added I recieve 4 emails wiith the same comment.
  Is there a means you can remove me from that service?
  Manyy thanks!

 4. Aw, i thought this was a really nice post. In thought I have to put in writing this way additionally – taking time and actual effort to create a top notch article… but what / things I say… I procrastinate alot by no indicates seem to get something accomplished.

 5. Howdy very nice site!! Guy .. Beautiful .. Wonderful ..
  I will bookmark your site and take the feds also?
  I’m happy to search out a lot of helppful info riight here within the post,
  wwe need develop extra strategies on tbis regard,
  thanks for sharing. . . . . .

 6. The weekend is fast approaching. Why not spend it with a sexy cam girl? There’s plenty of them over at http://www.camgirl.pw All of these girls are wanting to have a good time. That’s exactly what you’re looking for too. The most fun you’ll ever have online is right here. Have yourself a good time and meet someone new. That’s what this site is all about.

 7. Just imagine for a second if you could get into the mind of a millionaire. Think of all the things that you could learn. Well, you actually can do just that. A millionaire is giving away all of his secret right on the internet. You don’t even need to leave the house to learn what made him rich. All it takes is visiting http://e31a67zd-ccr7u13el2cflqp0d.hop.clickbank.net He will literally teach you all of the secrets to making money. Don’t you think it’s time that you earned the living that you deserve? Change your life today by simply following the link above. Do it for yourself and everyone that you care about.

 8. Did you know that people make their entire income promoting ClickBank? You too could be one of the many who have quit their job. Affiliate marketing is as old as the internet. It’s not going to go away any time soon. You too can get your piece of the pie. Why shouldn’t you? Do you really like working the job you have? Are you going to be able to do it until you retire? If you’re job requires physical labor, then you know the answer to that question. There’s no way you’re going to be able to do that when you get older. That’s just the truth and no one needs to tell it to you. Right now you could be making money online. Does it require work? You better believe it does. No honest person is ever going to tell you that it’s possible to become a millionaire online without doing any work whatsoever. It’s not possible. That doesn’t mean there isn’t money to be made. There’s plenty of money out there to be made by people just like yourself. Now you know there’s going to be a pitch for a product. You’re right about that. Click on the link http://64efd6-lz41s3rcelbr7s2xl7x.hop.clickbank.net/ and check it out. There’s a video you can watch that will explain everything. It will tell you how to make money using ClickBank. Watch the video and see what you think. You too can be one of the many who earn a living promoting ClickBank. Some people earn a good living and there’s no reason why you can’t.

 9. Are you the type who likes to hangout on social media? Have you ever thought about making it a career? You can help promote their business using social media. This means you can do what you already love doing and make money at it. Does this sound like something you’d like to do? If so, then check out http://d526fc0l5b3nfyfg3bx3sfpbkq.hop.clickbank.net/ You can help people and make some money in the process. You already hang out at social media sites. Why not make a few bucks doing it?

 10. Hey exceptional website! Does running a blog like this
  require a great deal of work? I’ve very little understanding of coding but I
  had been hoping to start my own blog soon. Anyhow,
  should you have any suggestions or techniques for new blog
  owners please share. I understand this is off topic nevertheless I
  simply needed to ask. Many thanks!

2 Trackbacks / Pingbacks

 1. free facebook auto post
 2. free facebook auto group poster

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*