PROF. MUHONGO: RIPOTI YA TAKUKURU ITAWATOA ‘JASHO’ TPDC

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema ripoti ya uchunguzi wa Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (Takukuru) dhidi ya tuhuma za ufisadi zinazowakabili wakurugenzi watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) itawatoa jasho.

Amesema ripoti hiyo itathibitisha pasipo kuacha wingu la shaka iwapo wakurugenzi hao ni malaika, wachapakazi, wanalipenda taifa au vinginevyo.

Prof. Muhongo aliyasema hayo   katika mahojino  na Gazeti la MTANZANIA lililotaka kujua mwenendo wa uchunguzi wa tume inayochunguza tuhuma za ukiukwaji wa sheria na kanuni za ununuzi wa umma, na ukiukukwaji wa sheria na kanuni za utumishi wa umma hususan mgongano wa maslahi.

Nyingine ni kubadili matumizi ya fedha za bajeti bila idhini ya mamlaka za juu na kutotolewa  taarifa muhimu, nyeti na hasa kuhusu shughuli za shirika.

Wakurugenzi waliosimamishwa kazi kupisha uchunguzi ni Mkurugenzi Mkuu, Dk. James Mataragio, Mkurugenzi wa Fedha, George Seni, Mkurugenzi wa Mkondo wa Juu, Kelvin Komba, Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani, Gabriel Mwero na Mkurugenzi wa MPMU, Edwin Riwa.

Katika majibu yake kwa MTANZANIA, Prof. Muhongo ambaye alikataa kulizungumzia jambo hilo kwa undani akisema hakuhusika kuiunda tume hiyo,  alisema baada ya wakurugenzi waliotuhumiwa kusimamishwa, Takukuru ilipiga kambi TPDC kufanya uchunguzi ambao ripoti yake itatoa jasho.

“Tume inayochunguza siyo ya waziri. Takukuru imeenda TPDC, hii ni serikali au mnataka tuongee mambo ya serikali?

“Kuna bodi ndiyo inayoamua, wanaokutuma kawaambie Takukutu imepewa kazi pale, nipeni taarifa za kweli.

“Takukuru ilipiga kambi hapo, kapate ripoti ya Takukuru utatoka jasho… wewe si unataka nikwambie ukweli…. Tume itasema ukweli, tulia,” alisema Prof. Muhongo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC, Profesa Sufiani Bukurura aliliambia gazeti hili hivi karibuni kuwa mbichi na mbivu kuhusu tuhuma hizo zitawekwa wazi katika uchunguzi wa kina unaofanywa na tume.

Kabla ya wakurugenzi hao kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi, Gazeti la MTANZANIA lilikuwa la kwanza na pekee lililoripoti kuhusu mradi wa utafiti wa mafuta na gesi wa TPDC katika maeneo ya Kaskazini na Magharibi mwa Ziwa Tanganyika, Songosongo, Mandawa na Eyasi–Wembere, kuwa utekelezaji wake ulighubikwa na mchezo mchafu.

Gazeti hili pia ndilo lililoripoti taarifa kuwa Hazina ilikataa kulipa mishahara na posho za maofisa 14 wa juu wa TDPC kwa sababu ya kukiukwa  taratibu za ajira zao.

99 Comments

 1. “This is really interesting, You are a very skilled blogger. I have joined your feed and look forward to seeking more of your great post. Also, I’ve shared your web site in my social networks!”

 2. “Thanks for every other wonderful post. Where else could anyone get that type of info in such an ideal way of writing? I have a presentation subsequent week, and I’m at the search for such information.”

 3. “Hey there! Would you mind if I share your blog with my twitter group? There’s a lot of people that I think would really enjoy your content. Please let me know. Thanks”

 4. hi!,I love your writing so so much! percentage we communicate more approximately your post on AOL? I require an expert on this area to resolve my problem. Maybe that’s you! Taking a look ahead to look you.

 5. Whats Going down i’m new to this, I stumbled upon this I’ve discovered It positively useful and it has aided me out loads. I am hoping to give a contribution & help different customers like its helped me. Good job.

 6. “I would like to add that if you do not currently have an insurance policy or else you do not belong to any group insurance, you could possibly well gain from seeking aid from a health broker. Self-employed or people with medical conditions typically seek the help of one health insurance broker. Thanks for your text.”

 7. I like what you guys are up too. Such smart work and reporting! Carry on the superb works guys I have incorporated you guys to my blogroll. I think it will improve the value of my website :).

 8. Simply wish to say your article is as astounding. The clarity in your post is simply spectacular and i can assume you’re an expert on this subject. Fine with your permission allow me to grab your RSS feed to keep up to date with forthcoming post. Thanks a million and please carry on the gratifying work.

 9. “Can I just say what a reduction to search out somebody who really is aware of what theyre talking about on the internet. You positively know the way to bring a difficulty to mild and make it important. More people must learn this and understand this facet of the story. I cant believe youre not more well-liked since you undoubtedly have the gift.”

 10. “Wow, incredible weblog layout! How lengthy have you been running a blog for? you made running a blog glance easy. The entire glance of your web site is excellent, let alone the content!”

 11. “I am not sure where you’re getting your info, but great topic. I needs to spend some time learning much more or understanding more. Thanks for great info I was looking for this information for my mission.”

 12. “I’m extremely impressed with your writing skills and also with the layout on your weblog. Is this a paid theme or did you customize it yourself? Either way keep up the excellent quality writing, it’s rare to see a nice blog like this one these days..”

 13. “I will right away grab your rss as I can’t find your email subscription hyperlink or newsletter service. Do you have any? Please let me know in order that I could subscribe. Thanks.”

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*