Majina wa wapenzi wa jinsia moja kuchapishwa Tanzania

Naibu waziri wa afya wa Tanzania, Hamis Kigwangalla ameendelea kusisitiza azma yake ya kuchapisha orodha ya majina ya watu anaowashutumu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Katika mjadala mkali ulioendelea kwenye mtandao wa twitter na watumiaji wengine, Kigwangalla ametetea uamuzi wake huo kwa kusema watu hawa si tu wanajihusisha na vitendo visivyokubalika katika jamii. bali pia wanauza ngono kwa njia ya mtandao na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja vyote vikiwa kinyume na sheria za nchi

“Kuna watu wanadhani vita dhidi ya ushoga ni ya mzaha, ni vita kubwa na tutaishinda. Mtandao ni mrefu na nitaendesha operation kamata kamata,” aliandika Kigwangala katika Twitter wiki iliyopita

Lakini mwisho wa wiki katika majibishano yake na watumiaji wengine wa Twitter, Kigwangala ambaye taaluma yake ni Utabibu, alidai kwamba ushoga si swala la kibaolojia lakini ni utashi wa mtu na kwamba ni aina tu ya maisha ambayo watu wa mjini wamechagua kujihusisha kwayo.

Aliendelea kwa kutoa mfano kwamba katika vijiji vya mji anaotoka Nzega, katikati Magharibi mwa Tanzania, hakuna kabisa vitendo vya ushoga.

Wengi katika twitter walimshutumu Kigwangalla kwa kuendesha kampeni ya chuki dhidi ya kundi hilo la mashoga huku yeye akijibu, “natimiza wajibu wangu kama kiongozi msimamizi wa sheria na sera za nchi yetu.”

Hatua hii ya Kigwangalla inaambatana na uamuzi wa serikali kuvifungia vituo vipatavyo 40 vya afya ambavyo vilikuwa vikitoa huduma za UKIMWI ikiwa ni pamoja na kwa makundi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Nchini Tanzania, mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha sheria na adhabu yake inaweza kuwa hata miaka 30 jela.

80 Comments

  1. The weekend is fast approaching. Why not spend it with a sexy cam girl? There’s plenty of them over at http://www.camgirl.pw All of these girls are wanting to have a good time. That’s exactly what you’re looking for too. The most fun you’ll ever have online is right here. Have yourself a good time and meet someone new. That’s what this site is all about.

  2. Just imagine for a second if you could get into the mind of a millionaire. Think of all the things that you could learn. Well, you actually can do just that. A millionaire is giving away all of his secret right on the internet. You don’t even need to leave the house to learn what made him rich. All it takes is visiting http://e31a67zd-ccr7u13el2cflqp0d.hop.clickbank.net He will literally teach you all of the secrets to making money. Don’t you think it’s time that you earned the living that you deserve? Change your life today by simply following the link above. Do it for yourself and everyone that you care about.

  3. Did you know that people make their entire income promoting ClickBank? You too could be one of the many who have quit their job. Affiliate marketing is as old as the internet. It’s not going to go away any time soon. You too can get your piece of the pie. Why shouldn’t you? Do you really like working the job you have? Are you going to be able to do it until you retire? If you’re job requires physical labor, then you know the answer to that question. There’s no way you’re going to be able to do that when you get older. That’s just the truth and no one needs to tell it to you. Right now you could be making money online. Does it require work? You better believe it does. No honest person is ever going to tell you that it’s possible to become a millionaire online without doing any work whatsoever. It’s not possible. That doesn’t mean there isn’t money to be made. There’s plenty of money out there to be made by people just like yourself. Now you know there’s going to be a pitch for a product. You’re right about that. Click on the link http://64efd6-lz41s3rcelbr7s2xl7x.hop.clickbank.net/ and check it out. There’s a video you can watch that will explain everything. It will tell you how to make money using ClickBank. Watch the video and see what you think. You too can be one of the many who earn a living promoting ClickBank. Some people earn a good living and there’s no reason why you can’t.

  4. Thanks a lot with regard to spreading this particular with people that you know very well what you are talking about! Added. Please moreover consult with my website Equals) kumpulan youtube terfavorit. We can easily have a url trade arrangement of us

  5. Are you the type who likes to hangout on social media? Have you ever thought about making it a career? You can help promote their business using social media. This means you can do what you already love doing and make money at it. Does this sound like something you’d like to do? If so, then check out http://d526fc0l5b3nfyfg3bx3sfpbkq.hop.clickbank.net/ You can help people and make some money in the process. You already hang out at social media sites. Why not make a few bucks doing it?

  6. Just when you think the work week can’t get any more boring. That’s when you discover http://www.camgirl.pw Now you can already begin to see that this week is going to be a whole lot better. There’s no need to be bored as can be while you work. Sneak in a little fun with one of these cam girls. They’ll put a smile on your face and a some lead in your pencil as well.

  7. Your article on Majina wa wapenzi wa jinsia moja kuchapishwa Tanzania – DODOMA ONE is very good. We hope you can continue posting many lot post . Be prosperous mwendokasi.000webhostapp.com

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*