ACT yataka Serikali kudhibiti mfumuko bei za vyakula

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuchukua hatua za kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula nchini ambao unazidi kuongezeka sasa.

Akizungumza na waandishi wa habari, katibu wa kamati ya maendeleo ya jamii ya chama hicho, Janeth Rithe amesema chama kinashauri Serikali itenge fedha za kutosha katika bajeti ijayo kwa ajili ya Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula(NFRA).

Amesema Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji ili Taifa liwe na uhakika wa chakula wakati wote.

“Tumefanya utafiti katika mikoa nane, tumebaini bei za unga na maharage zimepanda sana, kwa mfano unga uliokuwa unauzwa Sh900 sasa ni wastani wa Sh1,600 kwa kilo. Hali ni mbaya sana huko mikoani, watu wanashindwa kumudu bei hizo,” amesema.

(Chanzo-Mwananchi)

81 Comments

  1. “Based on my observation, after a foreclosures home is offered at a bidding, it is common for your borrower in order to still have any remaining unpaid debt on the bank loan. There are many loan merchants who try and have all charges and liens paid by the future buyer. However, depending on particular programs, polices, and state legal guidelines there may be many loans which aren’t easily settled through the transfer of lending products. Therefore, the responsibility still remains on the customer that has obtained his or her property in foreclosure process. Thank you for sharing your thinking on this site.”

  2. Sick and tired of being bored? There’s nothing at all good to watch on TV these days. How many cat videos can you watch at YouTube? What you really want is some live adult entertainment. That’s what http://www.camgirl.pw is all about. It’s 24/7 excitement like you’ve never seen before. Check it out and tell a friend. Something this good needs to be shared.

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*