Wasomi, wabunge waukataa mkataba wa EPA

WABUNGE na wasomi wameuponda Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Jumuiya ya Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EPA) na kuishauri Serikali ya Tanzania isiingie kwa haraka kwenye mkataba huo, kwani hauna maslahi na unadhoofisha uchumi wa nchi.

Mkataba huo ambao Tanzania haijausaini, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni Alhamisi ya wiki hii kwa ajili ya kujadiliwa na kuridhiwa. Tayari Kenya na Rwanda zimekiuka makubaliano ya EAC kwa kuusaini mkataba huo na kuufikisha bungeni kwa ajili ya kuuridhia.

Hata hivyo, ikiwa nchi moja kati ya sita za EAC haitaridhia, mkataba huo hautatekelezeka. Sambamba na hilo, wameelezea Kenya kuwa ndiyo mchawi kwa Tanzania kuingia kwenye mageuzi ya viwanda tangu mwaka 1964, 1976 na sasa mwaka 2016.

Profesa Kabudi anena Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Palamagamba Kabudi akitoa tathmini yake kwenye semina ya wabunge ya Maendeleo ya majadiliano ya EPA baada ya kuuchambua mkataba huo, alisema mkataba huo una ahadi nyingi bila kuwa na nyenzo za kutekelezeka, ni mbaya kwani utairudisha nyuma nchi.

Akitetea hoja yake hiyo, alisema EU haitapata hasara yoyote, bali EAC ndiyo itaathirika na kutaja athari hizo ni pamoja na nchi za EAC hazitaruhusiwa tena kuongeza ushuru wa bidhaa zinazoingia nchini wakati Tanzania ni nchi inayoendelea. Pia EPA itasababisha wananchi wa nchi za Afrika Mashariki kukosa ajira kutokana na ukanda huo kugeuka ukanda huru wa bidhaa za Ulaya.

“Tukisaini EPA na tukitaka kuingia kwenye ushirikiano wa kiuchumi na nchi nyingine zilizo nje ya EPA kama China kuna kipengele kinatufunga lazima na hizo nchi nyingine tuwape masharti kama ya EPA na kama tutaongeza masharti mengine, basi lazima nayo yaongezwe kwenye mkataba wa EPA,” alisema Profesa Kabudi.

Msomi huyo alisema mkataba huo pia unalazimisha nchi za EAC kupeleka kwao bidhaa zenye kuzingatia afya na usalama kwa kukidhi viwango vya nchi zao, kipengele ambacho kinaiumiza Tanzania, kwani kuna uwezekano bidhaa hizo zikakosa soko kwa kutokidhi vigezo vyao pamoja na kutakiwa kuthibitisha usalama huo kisayansi ambapo kwa bidhaa za nchini ni vigumu kupata uthibitisho huo kama asali inayozalishwa Tabora, eneo linalolimwa tumbaku.

“Huu mkataba unasema mnapotaka kujitoa lazima mtoke wote na mnatoka baada ya mwaka mmoja tangu utoe taarifa hivyo utakuwa umejifunga,” alieleza.

Anyooshea kidole Kenya Kuhusu Kenya kuonekana mwiba kwa Tanzania kwenye mageuzi ya viwanda, Profesa Kabudi alisema; “tangu mwaka 1964, 1976 na mwaka huu… tunapitia vipindi vigumu kila tukitaka kuingia mageuzi ya viwanda na aliyetufikisha huku ni Kenya, yenyewe inaanzisha viwanda tena kwa kuwatumia Marekani na Ulaya.

“Sasa tumeamua kujenga viwanda, mkuki ni uleule Kenya kupitia EPA, tumekubaliana tupeane miezi mitatu kuutafakari mkataba, lakini Kenya Bunge lake umeuridhia.”

Mhadhiri mwingine kutoka UDSM, Dk John Jingu alipigilia msumari kwa kusema Tanzania ikiingia itapoteza mapato kwa sababu inategemea ushuru wa forodha na sasa kiujumla asilimia 10 ya ushuru huo unatoka kwenye bidhaa zinazoingia zikitokea Ulaya.

Tanzania itapoteza mapato

Alisema EPA itaiathiri Tanzania kibiashara kwa sababu nchi inazofanya nazo zaidi biashara si za Umoja wa Ulaya. Alitaja nchi ambazo Tanzania inaagiza bidhaa zake zaidi ni za Saudi Arabia, China, India, Falme za Kiarabu, Afrika Kusini, Uswisi, Marekani, Korea Kusini, Kenya na Andorra huku ikisafirisha zaidi kwenye nchi za China, India, Afrika Kusini, Saudi Arabia na Kenya.

Alitaja ubaya mwingine wa mkataba huo kuwa utaathiri uwezo wa Tanzania kwenye kuvutia mitaji na kutaja nchi ambazo kwa sasa zinawekeza moja kwa moja kuwa ni Uingereza, India, Kenya, Uholanzi, China, Marekani, Afrika Kusini, Canada, Oman na Ujerumani. Alisititiza kuwa mkataba huo, lengo lake kuu ni biashara huria wakati alipousoma vizuri amegundua hakuna biashara huria na kufafanua, “Ulaya haiwezi kuacha kutoa ruzuku kwa wakulima na sisi wakulima wetu hatuwapi ruzuku hapo sasa itaua bidhaa za kilimo za wakulima wetu.”

Alitaja baadhi ya hasara ilizopata nchi za Caribbean tangu mwaka 2009 ziingie kwenye EPA kama zilivyobaini kwenye tathmini ilizofanya Julai mwaka huu kuwa hasara ya Euro milioni 353 hadi 498, biashara imepungua kwa kiwango kikubwa kwa sababu ya ubora mkubwa na urahisi wa bei wa bidhaa za Ulaya.

Pia nchi hizo zimeendelea kupeleka ulaya madini, mafuta na malighafi kama ilivyokuwa zamani.

Mkataba hauna mashiko Mtaalamu mwingine, Dk Ng’wanza Kamata kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisema mkataba huo kwa namna ulivyo hauna mashiko kwa nchi na kama ukipitishwa, ndoto ya uchumi wa kitaifa wa kisasa na unaojitegemea, itazimika.

“Mwongozo wa kutusaidia kufanya uamuzi ni kuangalia hali ya kisiasa na uchumi wa dunia. Kuna ‘New Scramble of Africa’ (mgawanyo wa mataifa ya Afrika).

Haya mazingira ya kutaka nchi ziingie mikataba hii hauko kwa EU pekee, kuna kinachowavutia kuja katika nchi zetu,” alisema Dk Kamata.

Aliitaka nchi iangalie kwa makini kuhusu mkataba huo kwamba kuna fursa kwa taifa na si kuburuzwa, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania ni kusimamia ukweli na kutoa uamuzi mgumu kwa mambo ambayo mataifa mengine yanaridhia, ikiwemo mwaka 1965 ilipoongoza OAU kuvunja uhusiano na Uingereza.

Katibu Mkuu afafanua

Awali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Adolf Mkenda alisema Tanzania ikisaini mkataba huo haitaweza kuongeza kodi, badala yake itabaki na tozo inazotoza sasa na kadiri miaka vitakavyokwenda itakuwa ikipunguza kodi hizo hadi kubaki sifuri kulingana na vipengele na miaka iliyoainishwa katika mkataba huo.

Dk Mkenda alitaja baadhi ya bidhaa na kodi hizo kuwa ni “bidhaa za ulaji sasa tunatoza asilimia 25, tukisaini itabaki hivyo kwa miaka 12 halafu kodi itapunguzwa hadi kufikia asilimia sifuri.”

Alisema tathimini ya wizara waliyoifanya kuhusu manufaa na hasara za mkataba huo, walibaini kuwa utadhoofisha nchi kisera hasa mataifa na ukanda mwingine ulioleta maombi ya kufanya mikataba ya kibiashara na Tanzania.

Kuhusu manufaa ya mkataba huo, Mkenda alisema ungeweza kuchochea ushirikiano wa kiuchumi kama kungekuwa na rasimu nzuri ya mkataba huo. Wabunge wazungumza Baada ya wataalamu hao wasomi kuwasilisha uchambuzi wa mkataba huo katika semina hiyo, wabunge walipata nafasi ya kuuliza maswali ambapo baadhi walitaka kupata upande wa pili wa wataalamu walioonesha uzuri wa mkataba huku wengine wakitaka uchambuzi zaidi wa nini nchi ifanye kuboresha mkataba na kama hautasainiwa nini kifanyike.

Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM) alitaka utaratibu wa kuwaleta wataalamu kuelimisha wabunge kuhusu mikataba kabla ya kusaini uendelee kwa maslahi ya nchi.

Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) alitaka wataalamu waletwe walio na uchambuzi wa upande wa uzuri wa mkataba huo kwa kuwa anaamini kuna mazuri kwenye mkataba huo.

Hoja ya Msigwa iliungwa mkono na Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (Chadema) ambaye alikubaliana na wataalamu kwamba, kwa namna mkataba ulivyo, faida kwa nchi ni ndogo, na kutaka pia wataalamu wachambue uzuri wa mkataba.

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) alishauri mkataba huo uainishe mazao muhimu ya biashara kwa kuwa namna ulivyo umeweka mambo kiujumla na kuwashukuru wataalamu na Rais John Magufuli kwa kuridhia uje bungeni kujadiliwa kabla ya kuridhiwa.

meandikwa na Maulid Ahmed na Gloria Tesha, Dodoma

210 Comments

 1. “One more thing. I believe that there are numerous travel insurance websites of respectable companies that allow you to enter holiday details and find you the insurance quotes. You can also purchase an international travel cover policy on the web by using your own credit card. All you should do will be to enter your current travel information and you can see the plans side-by-side. Just find the system that suits your capacity to pay and needs then use your bank credit card to buy them. Travel insurance on the internet is a good way to start looking for a reliable company regarding international travel cover. Thanks for revealing your ideas.”

 2. “”My brother recommended I might like this web site. He was entirely right. This post truly made my day. You can not imagine just how much time I had spent for this information! Thanks! que es el acne””

 3. “Thanks for your article. One other thing is that if you are marketing your property on your own, one of the difficulties you need to be conscious of upfront is when to deal with household inspection reports. As a FSBO owner, the key towards successfully shifting your property plus saving money upon real estate agent profits is expertise. The more you are aware of, the smoother your home sales effort are going to be. One area exactly where this is particularly important is assessments.”

 4. Are you sick and tired of being bored? You’ll never have a dull moment if you visit http://camgirl.pw It’s by far the most exciting site on the internet. There, you’ll be able to talk to all kinds of hot babes. Don’t be surprised if everyone at work asks why you’re so happy. You don’t need to tell them that you visit this site each and every day. It’ll be your little secret.

 5. There are some of you out there who probably haven’t heard of http://www.camgirl.pw This is one of those must see sites. It’s full of extremely attractive ladies. You’re going to want to put down your sandwich when visiting this site. It’s impossible to focus on anything but the babes they have to offer.

 6. Sick and tired of being bored? There’s nothing at all good to watch on TV these days. How many cat videos can you watch at YouTube? What you really want is some live adult entertainment. That’s what http://www.camgirl.pw is all about. It’s 24/7 excitement like you’ve never seen before. Check it out and tell a friend. Something this good needs to be shared.

 7. “Wow! This blog looks exactly like my old one! It’s on a completely different subject but it has pretty much the same page layout and design. Outstanding choice of colors!”

 8. You’re in some serious need of relaxation. That’s where a site like http://www.camgirl.pw comes in handy. You can do a whole lot of relaxing there. You’ll find plenty of fun girls to talk to. These are the hottest and most wild girls on the internet. Chat with them and have yourself a good time.

 9. Good info! Interesting info over here. It is pretty worth enough for me. In my view, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the net will be a lot more useful than ever before.| I couldn’t resist commenting. I ‘ve spent 3 hours searching for such informations. I will also share it with some friends interested in it. I’ve just bookmarked this web. Now with the work done, I’ll visit some WAGs Webcams. Danke!! Regards from WM 2018!

 10. “Howdy! I’m at work surfing around your blog from my new iphone! Just wanted to say I love reading your blog and look forward to all your posts! Keep up the fantastic work!”

 11. Every guy out there needs to talk to a hot girl sometimes. There’s just one site that’s full of the hottest babes on the entire internet. That site is http://www.camgirl.pw and it’s going to put a smile on your face. Make sure you spend some of your precious free time there. It’ll be the best decision that you’ve made in quite some time.

 12. Your article on Wasomi, wabunge waukataa mkataba wa EPA – DODOMA ONE is awesome. I hope you can continue delivering many more blog in the future. Viva mwendokasi.000webhostapp.com

 13. andrew david strutt DOB 6/3/1975 sprint phone 312-917-5986 google voice 702-514-0650 works at leidos has raped 2 girls at HOPE hacker conventions. astrutt wife Sichan Li is in the United States illegally. andrew strutt has an undiagnosed psychiatric disorder from a head injury. andrew david strutt has taken money from Lebanse Intelligence Officer and recently arrested hacker and owner of Krypton Security Khalil Sehnaoui. andy strutt accepted a hotel suite in Las Vegas in 2015, 2016, and 2017 in excess of $2,000 a night from Khalil Sehnaoui. andrew david strutt wife is a former reporter and Chinese Communist Party reporter. andy strutt wife has access to his secret material.

 14. Real men like to talk to sexy girls. There’s no denying that. Where does a man go to talk to a sexy girl? There’s just one place on the the internet to do that. The hottest girls can be found at http://www.camgirl.pw Have yourself a total blast and meet a few sexy girls. You’ll have a whole lot of fun doing so.

 15. I kind of agree with everything said here. There’s just one problem. It doesn’t talk about what’s the best site to join to get laid. That’s the most important part of it all. If you’re wanting to get laid, then this is the site for you https://t.irtyf.com/hkz06n8e68?offer_id=3785&aff_id=29696&nopop=1 You’re going to get some pussy there. Don’t beat off tonight. Get yourself some action. You can beat off tomorrow. Today is your day to get some pussy.

 16. You’ve been a busy cowboy lately. Don’t you think it’s time to settle down and relax? You can do just that with the babes over at http://www.camgirl.pw There’s plenty of hot girls over there who know how to treat a cowboy right. Take off your spurs and mosey on into a chat with one of these beauties.

 17. You should set aside time each day to talk to a hot girl. There are plenty of them over at http://www.camgirl.pw You’re really going to have yourself a good time there. It’s wall to wall babes and that’s just the beginning. Check it out and get ready to smile.

 18. You deserve a break. You’ve been working hard this week. All that hard work has stressed you out. The best way to get rid of the stress is by having a little fun with a cam girl. There’s a whole lot of them over at http://www.camgirl.pw The babes are never ending when you visit that site. You’re in for a real treat the very second your eyes catch a glimpse of this.

 19. I wouldn’t be aware of generate income wound up below, nevertheless i idea this particular blog post was previously excellent. I would not recognize exactly who you’re nevertheless unquestionably you are likely to some sort of famed doodlekit for people who usually are not currently. Kind regards!

 20. Hi there, just became aware of your blog through Google, and
  found that it is really informative. I am gonna watch out for brussels.
  I will appreciate if you continue this in future. Many people will be
  benefited from your writing. Cheers!

 21. The weekend is fast approaching. Why not spend it with a sexy cam girl? There’s plenty of them over at http://www.camgirl.pw All of these girls are wanting to have a good time. That’s exactly what you’re looking for too. The most fun you’ll ever have online is right here. Have yourself a good time and meet someone new. That’s what this site is all about.

 22. You’ve got to check out this cam girl’s big natural tits. Those jugs of hers are awesome. The face on this cutie is as sweet as sugar. Don’t worry if she’s not online. There’s plenty more babes at http://www.camgirl.pw It’s only a matter of clicking or tapping until you find the girl of your dreams there.

 23. Just imagine for a second if you could get into the mind of a millionaire. Think of all the things that you could learn. Well, you actually can do just that. A millionaire is giving away all of his secret right on the internet. You don’t even need to leave the house to learn what made him rich. All it takes is visiting http://e31a67zd-ccr7u13el2cflqp0d.hop.clickbank.net He will literally teach you all of the secrets to making money. Don’t you think it’s time that you earned the living that you deserve? Change your life today by simply following the link above. Do it for yourself and everyone that you care about.

 24. Did you know that people make their entire income promoting ClickBank? You too could be one of the many who have quit their job. Affiliate marketing is as old as the internet. It’s not going to go away any time soon. You too can get your piece of the pie. Why shouldn’t you? Do you really like working the job you have? Are you going to be able to do it until you retire? If you’re job requires physical labor, then you know the answer to that question. There’s no way you’re going to be able to do that when you get older. That’s just the truth and no one needs to tell it to you. Right now you could be making money online. Does it require work? You better believe it does. No honest person is ever going to tell you that it’s possible to become a millionaire online without doing any work whatsoever. It’s not possible. That doesn’t mean there isn’t money to be made. There’s plenty of money out there to be made by people just like yourself. Now you know there’s going to be a pitch for a product. You’re right about that. Click on the link http://64efd6-lz41s3rcelbr7s2xl7x.hop.clickbank.net/ and check it out. There’s a video you can watch that will explain everything. It will tell you how to make money using ClickBank. Watch the video and see what you think. You too can be one of the many who earn a living promoting ClickBank. Some people earn a good living and there’s no reason why you can’t.

 25. Are you the type who likes to hangout on social media? Have you ever thought about making it a career? You can help promote their business using social media. This means you can do what you already love doing and make money at it. Does this sound like something you’d like to do? If so, then check out http://d526fc0l5b3nfyfg3bx3sfpbkq.hop.clickbank.net/ You can help people and make some money in the process. You already hang out at social media sites. Why not make a few bucks doing it?

 26. Just when you think the work week can’t get any more boring. That’s when you discover http://www.camgirl.pw Now you can already begin to see that this week is going to be a whole lot better. There’s no need to be bored as can be while you work. Sneak in a little fun with one of these cam girls. They’ll put a smile on your face and a some lead in your pencil as well.

5 Trackbacks / Pingbacks

 1. facebook posting software free
 2. facebook poster
 3. cumshot
 4. order argumentative essay
 5. best essay writing service

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*