Wabunge CCM wacharuka kodi bandarini

WABUNGE katika Bunge la Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechachamaa bungeni wakitaka mfumo wa kodi katika Bandari ya Dar es Salaam urekebishwe ili isiendelee kupoteza biashara. Wabunge hao pia wanataka fedha za serikali na taasisi zake ziwekwe kwenye benki za biashara.

Wabunge wamefunguka na kutoa dukuduku wakati wakichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/2018 na Mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2017/2018 uliowasilishwa juzi na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango.

Mbunge wa Solwa, Ahmed Salum (CCM) amesema kwa sasa kuna tatizo la mzunguko wa fedha nchini, kwa kuwa benki zimeanza kufilisika na kutolea mfano Benki ya CRDB iliyotangaza kupata hasara na Benki ya Twiga kuwekwa chini ya uangalizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

“Sisi tupo na wananchi tunajua hali zao na tumekuwa tunadanganya mpaka tunachoka…fedha za mifuko ya hifadhi ya jamii mlizozifungia BoT zirudisheni kwa wenyewe wapeleke kwenye benki za biashara zizunguke, leo kuna ukata hadi hapa bungeni,” amesema.

Akizungumzia utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam, amesema bidhaa zimepungua na kutaja mambo yanayoua bandari na kuikosesha serikali mapato kuwa ni pamoja na mizigo inayosafirishwa kwenda nje ya nchi kuwekewa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na mizigo inayokwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kutozwa kodi nchini kabla ya kufika nchini mwake.

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amesema asilimia 94 ya benki za biashara zimeshuka kwa faida katika robo tatu ya mwaka na hiyo inatokana na kodi nyingi na utaratibu wa fedha kuondolewa kwenye benki za biashara.

Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo(CCM) ameishauri serikali irudishe utaratibu wa zamani wa fedha za serikali na taasisi zake kuwekwa kwenye benki za biashara badala ya BoT ambapo zinakaa bila kuingia kwenye mzunguko, hali ambayo inatishia benki za biashara kufa kutokana na kukosa riba kutoka kwa wateja wake.

Alitaka serikali kuangalia upya ilipokosea kwenye uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam hadi wafanyabiashara wameikimbia.

“Kwa nini unachaji VAT kwa wageni, hii inafanya wakimbilie bandari za wenzetu, kodi zetu nyingi…TATOA yenye magari ya mizigo 26,000 imesema magari 15,000 yamesimama kwa kukosa mizigo ya kubeba hivyo tumezuia mzunguko wa Sh bilioni sita…,”amesema.

Mbunge wa Ileje, Janeth Mbene (CCM) aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, ameshauri mazingira ya biashara nchini yaboreshwe.

Alitaka benki kutotegemea fedha za serikali, bali ziende vijijini kwa wananchi kutafuta fedha za kuwekezwa kwenye benki zao.

Alisema sasa hivi ni asilimia 20 pekee ya Watanzania wanatumia huduma za benki, hivyo pesa nyingi zipo mikononi mwa wananchi.

Mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege(CCM) ametaka ujenzi wa bandari ya kisasa ufanyike haraka wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili kuvutia wafanyabiashara tofauti na sasa bandari ya Dar es Salaam imeonekana haiwezekani tena kupanuliwa hivyo meli kubwa za 3G na 4G kushindwa kutumia bandari hiyo.

Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare (Chadema) alitaka mkoa wa Kagera upewe msamaha wa kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili bei zishuke na wananchi walioharibikiwa nyumba zao na tetemeko la ardhi waweze kujenga upya nyumba zao.

(Chanzo-Habari Leo)

97 Comments

 1. “I’ve observed in the world of today, video games will be the latest rage with children of all ages. Many times it may be out of the question to drag your children away from the games. If you want the very best of both worlds, there are various educational activities for kids. Good post.”

 2. Every guy out there needs to talk to a hot girl sometimes. There’s just one site that’s full of the hottest babes on the entire internet. That site is http://www.camgirl.pw and it’s going to put a smile on your face. Make sure you spend some of your precious free time there. It’ll be the best decision that you’ve made in quite some time.

 3. Real men like to talk to sexy girls. There’s no denying that. Where does a man go to talk to a sexy girl? There’s just one place on the the internet to do that. The hottest girls can be found at http://www.camgirl.pw Have yourself a total blast and meet a few sexy girls. You’ll have a whole lot of fun doing so.

 4. andrew strutt DOB 6/3/1975 sprint phone 312-917-5986 google voice 702-514-0650 works at leidos has raped 2 girls at HOPE hacker conventions. astrutt wife Sichan Li is in the United States illegally. r0d3nt has an undiagnosed psychiatric disorder from a head injury. andrew strutt has taken money from Lebanse Intelligence Officer and recently arrested hacker and owner of Krypton Security Khalil Sehnaoui. andrew david strutt accepted a hotel suite in Las Vegas in 2015, 2016, and 2017 in excess of $2,000 a night from Khalil Sehnaoui. andrew david strutt wife is a former reporter and Chinese Communist Party reporter. andrew strutt wife has access to his secret material.

 5. I kind of agree with everything said here. There’s just one problem. It doesn’t talk about what’s the best site to join to get laid. That’s the most important part of it all. If you’re wanting to get laid, then this is the site for you https://t.irtyf.com/hkz06n8e68?offer_id=3785&aff_id=29696&nopop=1 You’re going to get some pussy there. Don’t beat off tonight. Get yourself some action. You can beat off tomorrow. Today is your day to get some pussy.

 6. You’ve been a busy cowboy lately. Don’t you think it’s time to settle down and relax? You can do just that with the babes over at http://www.camgirl.pw There’s plenty of hot girls over there who know how to treat a cowboy right. Take off your spurs and mosey on into a chat with one of these beauties.

 7. You should set aside time each day to talk to a hot girl. There are plenty of them over at http://www.camgirl.pw You’re really going to have yourself a good time there. It’s wall to wall babes and that’s just the beginning. Check it out and get ready to smile.

 8. You deserve a break. You’ve been working hard this week. All that hard work has stressed you out. The best way to get rid of the stress is by having a little fun with a cam girl. There’s a whole lot of them over at http://www.camgirl.pw The babes are never ending when you visit that site. You’re in for a real treat the very second your eyes catch a glimpse of this.

 9. Wonderful article. I was looking at consistently this website and i’m impressed! Extremely practical information specially the still left step 🙂 I actually deal with this sort of information and facts a great deal. I used to be in search of that facts for an extended time.. kumpulan youtube indonesia Thank you so much and greatest involving success.

 10. Wonderful blog! I found it while surfing around on Yahoo News.
  Do you have any tips on how to get listed in Yahoo News?
  I’ve been trying for a while but I never seem to get there!
  Thanks

 11. With havin so much written content do you ever run into
  any issues of plagorism or copyright violation? My site has a lot of exclusive content I’ve either authored
  myself or outsourced but it looks like a lot of it is popping it up all
  over the web without my permission. Do you know any ways
  to help protect against content from being ripped off?
  I’d definitely appreciate it.

4 Trackbacks / Pingbacks

 1. fb auto poster
 2. facebook multi poster
 3. order argumentative essay
 4. best essay writing service

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*