Mkurugenzi wa FBI matatani

Seneta wa juu kabisa wa chama cha Democrat, amesema Mkurugenzi wa FBI James Comey anaweza kuwa amevunja sheria kwa kutangaza kubaini barua pepe mpya zinazoweza kuwa muhimu kwa uchunguzi dhidi Hillary Clinton

Katika barua yake kwa Comey, kiongozi wa kundi la wachache Harry Reid, seneta wa Nevada amemtuhumu kiongozi huyo kwa kuwa na undumilakuwili kwa kuwa na nia ya kudhibiti wito wa Democrat kujadili kile kinachoelezwa kuwa uwezekano wa mahusiano kati ya Donald Trump na serikali ya Urusi, na badala yake Ijumaa iliyopita kutoa taarifa kwa bunge la Marekani-Congress za ujumbe wa kingono, katika uchunguzi wa Anthony Weiner, mbunge wa zamani wa New York na mume wa zamani wa msaidizi wake mkuu wa Clinton Huma Abdidin.

Katika taarifa hiyo Reid amemwambia kiongozi huyo wa FB kuwa jitihada za wazi kabisa zenye kuonesha ana nia ya kusaidia upande mmoja wa chama. Aidha ameongeza kuwa ofisi yake imemuandikia barua hiyo kwa kutanabaisha kuwa amekiuka sheria iitwayo “Hatch Act”, ambayo inawazuia maafisa wa FBI kutumia mamlaka yao ya kiofisi katika kufanikisha ushawishi katika chaguzi. Amesema k

mkr

Comey amezitikisa mbio za ikulu ya Marekani- White House kwa barua yake kwa  Congress, akiwaeleza wabunge kupatikana kwa barua pepe mpya. Chama cha Democrat kina wasiwasi uvumbuzi huo mpya unaweza kumpa nguvu mpya mgombea wa Republican katika juma la mwisho kuelekea uchaguzi wa rais pamoja na kuwaongezea nguvu  wagombea wa useneta na baraza la wawakilishi katika uchaguzi huo.

Katika hatua tofauti kufuatia kadhia hiyo mwanasheria mkuu wa zamani Eric Holder na waendesha mashitka wengine kadha wa kadhia wametia saini barua inayomkosoa Comey kutokana na kisa hicho cha hivi karibuni cha namna anavyoshughulikia tuhuma za barua pepe za mgombea Clinton.

Katika barua hiyo ambayo shirika la habari la Ufaransa la AP imeipata nakala yake inasema Comey amejitenga na kitenmgo cha sheria pale alipolidokeza bunge la Marekani juu ya uchunguzi mpya wenye kuhusiana na uchunguzi mpya kuhusiana na kashfa ya Clinton.

Aidha barua hiyo vilevile imeeleza maafisa wa Kitengo cha Sheria nchini humo wameagizwa wasiendelee kujadili uchunguzi unaondelea na kujitenga kabisa na jambo hilo katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kwa lengo la kuondosha ushawishi wao. Lakini mkurugezi wa FBI alikwisha sema pale alipozungumza na maafisa wenzanke wa shirika hilo la ujasusi Ijumaa iliyopita kuwa barua yake kwa bunge la Marekani ipo katika hatari ya kutoeleweka katika kipindi hiki cha karibu na uchaguzi, lakini alipsawa kulipa taarifa bunge hilo baada ya awali kulieleza kuwa uchguzi wake ulifungwa.

(Chanzo-DW Kiswahili)

73 Comments

  1. “Howdy! Do you know if they make any plugins to help with SEO? I’m trying to get my blog to rank for some targeted keywords but I’m not seeing very good success. If you know of any please share. Appreciate it!”

  2. “When I originally commented I clicked the Notify me when new comments are added” checkbox and now each time a comment is added I get several emails with the same comment. Is there any way you can remove me from that service? Thanks!””

  3. “I’m not sure exactly why but this web site is loading incredibly slow for me. Is anyone else having this issue or is it a issue on my end? I’ll check back later on and see if the problem still exists.”

  4. “Hello I am so glad I found your webpage, I really found you by accident, while I was looking on Yahoo for something else, Anyways I am here now and would just like to say thanks for a tremendous post and a all round entertaining blog (I also love the theme/design), I don’t have time to look over it all at the minute but I have bookmarked it and also included your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a lot more, Please do keep up the awesome work.”

  5. “In line with my study, after a foreclosed home is bought at a sale, it is common for your borrower to be able to still have some sort ofthat remaining balance on the bank loan. There are many loan providers who aim to have all expenses and liens paid by the upcoming buyer. However, depending on specified programs, restrictions, and state laws and regulations there may be some loans that aren’t easily fixed through the exchange of financial loans. Therefore, the obligation still rests on the debtor that has received his or her property in foreclosure process. Many thanks sharing your ideas on this site.”

  6. “Hmm is anyone else experiencing problems with the images on this blog loading? I’m trying to determine if its a problem on my end or if it’s the blog. Any suggestions would be greatly appreciated.”

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*