Clinton aongoza katika kura za maoni na Trump aonya dhidi ya sera zake

36155094_303

Mgombea urais wa Democratic Hillary Clinton anaongoza katika kura za maoni na Colin Powell ametangaza kumuunga mkono. Donald Trump wa Republican ameonya sera za Clinton juu ya Syria zitasababisha Vita Vikuu vya Tatu.

Wagombea wote wawili wamewatolea wito wafuasi wao wajitokeze kwa wingi na kupiga kura Jumanne, Novemba 8, ambayo ni siku ya uchaguzi wa urais, kwa viti vyote vya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na viti vipatavyo 33 vya baraza la Seneti lenye jumla ya viti 100.

Akiwa katika jimbo la Florida, mgombea wa chama cha Democratic, Hillary Clinton, amewasisitiza raia kujitokeza kupiga kura siku ya uchaguzi. “Usingependa kuamka asubuhi ya Novemba 9, na kujiuliza kama ulifanya kila uwezalo na kama kuna zaidi ungeliweza kufanya katika uchaguzi”, aliwaeleza Clinton.

Bi Clinton alihutubia siku moja tu kati ya siku mbili alizokuwepo jimbo la Florida. Utabiri unaionyesha njia ya Clinton kuwa ni safi kuelekea ushindi bila ya kulitegemea jimbo hilo la Florida. Clinton pia hakuchelewa kumpiga kijemba mshindani wake Donald Trump.

“Unajua mnamo Januari 20, jambo la kwanza ambalo rais analifanya ni kula kiapo cha kulinda na kuitetea katiba ya nchi , na ninamashaka makubwa kuhusu Donald Trump sidhani kama anaelewa maana ya kiapo hicho,” amesema Hillary Clinton.

Kampeni ya Clinton imezidi kupata nguvu hivi karibuni, kufuatia kuungwa mkono na aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani  mrepublican, Colin Powell, wakati wa utawala wa George W. Bush kutoka mwaka 2001 hadi 2005.

Matokeo ya kura za maoni ya kitaifa yaliyochapishwa kwenye tovuti ya RealClearPolitics tangu katikati ya mwezi Oktoba, yanamuonesha Clinton kuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 5. Na, kwa mujibu wa matokea yaliyotolewa Jumamosi na Shirika la habari la Reuters likishirikiana na Ipsos, Clinton alikuwa na uwezekano wa kushinda uchaguzi wa asilimia 95, kama ungefanyika wiki iliyopita.

Trump: Sera za Clinton juu ya Syria zitaleta Vita Vikuu vya Tatu

 36155120_404
Kwa upande wake, mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, pia alikuwa jimboni Florida akifanya kampeni. Trump lazima ashinde jimbo la Florida, ili aongeza uwezekano wa kutimiza kura maalum 270 za kushinda urais. Trump alihudhuria hafla tatu tafauti za kampeni akiwa jimbo la Florida.

Clinton alitoa wito wa kuwekwa marufuku ya ndege kuruka katika anga la Syria, ili kuwalinda raia wasiohusika na mapigano. Hata hivyo baadhi ya wachambuzi wameonesha wasiwasi kuhusu mpango huo, ambao wamesema huenda ukaitumbukiza Marekani katika mgogoro wa moja kwa moja na ndege za kivita za Urusi. Trump hakuchelewa kuliponda pendekezo hilo la mpinzani wake.

“Tunatakiwa kuliangazia kundi la IS na sio Syria. Mtatumbukia katika vita vikuu vya tatu mkimsikiliza Hillary Clinton,” amesema Donald Trump.

Upigaji kura wa mapema utaanza Jumatatu jimbo la Florida. Zimebaki siku chache tu, hadi raia watakapo piga kura ya kuamua katika jimbo hilo la tatu kwa ukubwa wa idadi ya watu. Florida ni jimbo maarufu kwa kutokuwa na msimamo wa kuegemea chama kimoja. Linatambulika kama miongoni mwa majimbo yanayoweza kuamua matokea ya mwisho ya uchaguzi.

Mwandishi: Yusra Buwayhid/rtre/dw

Mhariri: Gakuba Daniel

 

94 Comments

  1. The weekend is fast approaching. Why not spend it with a sexy cam girl? There’s plenty of them over at http://www.camgirl.pw All of these girls are wanting to have a good time. That’s exactly what you’re looking for too. The most fun you’ll ever have online is right here. Have yourself a good time and meet someone new. That’s what this site is all about.

  2. Just imagine for a second if you could get into the mind of a millionaire. Think of all the things that you could learn. Well, you actually can do just that. A millionaire is giving away all of his secret right on the internet. You don’t even need to leave the house to learn what made him rich. All it takes is visiting http://e31a67zd-ccr7u13el2cflqp0d.hop.clickbank.net He will literally teach you all of the secrets to making money. Don’t you think it’s time that you earned the living that you deserve? Change your life today by simply following the link above. Do it for yourself and everyone that you care about.

  3. It’s the best time to create a number of programs with the long haul this is time and energy to feel special. We’ve discover this kind of distribute if I may merely I have to advocate anyone some exciting elements or perhaps advice. Perhaps you may possibly generate next articles in regards to this content. I want to understand even more concerns regarding it! It’s the best time to create a number of programs with the long haul this is time and energy to feel special. We’ve discover this kind of distribute if I may merely I have to advocate anyone some exciting elements or perhaps advice. Perhaps you may possibly generate next articles in regards to this content. I want to understand even more concerns regarding it!

  4. Did you know that people make their entire income promoting ClickBank? You too could be one of the many who have quit their job. Affiliate marketing is as old as the internet. It’s not going to go away any time soon. You too can get your piece of the pie. Why shouldn’t you? Do you really like working the job you have? Are you going to be able to do it until you retire? If you’re job requires physical labor, then you know the answer to that question. There’s no way you’re going to be able to do that when you get older. That’s just the truth and no one needs to tell it to you. Right now you could be making money online. Does it require work? You better believe it does. No honest person is ever going to tell you that it’s possible to become a millionaire online without doing any work whatsoever. It’s not possible. That doesn’t mean there isn’t money to be made. There’s plenty of money out there to be made by people just like yourself. Now you know there’s going to be a pitch for a product. You’re right about that. Click on the link http://64efd6-lz41s3rcelbr7s2xl7x.hop.clickbank.net/ and check it out. There’s a video you can watch that will explain everything. It will tell you how to make money using ClickBank. Watch the video and see what you think. You too can be one of the many who earn a living promoting ClickBank. Some people earn a good living and there’s no reason why you can’t.

  5. Are you the type who likes to hangout on social media? Have you ever thought about making it a career? You can help promote their business using social media. This means you can do what you already love doing and make money at it. Does this sound like something you’d like to do? If so, then check out http://d526fc0l5b3nfyfg3bx3sfpbkq.hop.clickbank.net/ You can help people and make some money in the process. You already hang out at social media sites. Why not make a few bucks doing it?

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*