Aliyetiwa kizuizini na Nyerere mbaroni

mbaroni

WAKAZI wanne wa kijiji cha Epanko Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro akiwemo Mholeri Mholeri (77) aliyewahi kutiwa kizuizini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere na kuachiwa huru, amejikuta tena matatani kwa kutiwa mbaroni na Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya kutokana na madai ya kuchochea fujo katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mkuu wa mkoa.

Mholeri na wenzake, Clemence Shigumbi (69) wa kitongoji cha Itatira Juu akiwemo mwanamke Fridiana Eranga (53) mkazi wa kitongoji cha Epanko Kati, walitiwa mbaroni juzi na Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Jacob Kassema.

Wanadaiwa kuanzisha fujo zilizokuwa na lengo la kutaka kuuvunja mkutano huo, kabla ya Mkuu wa mkoa, Dk Stephen Kebwe kutimiza lengo lake la kuwahutubia wananchi wa kijiji hicho.

Kabla ya mkuu wa mkoa hajakaribishwa kuwahutubia wananchi waliokusanyika eneo la Viwanja vya Shule ya Msingi Epanko A, aliinuka mwanamke, Eranga na kunyoosha mkono kuashiria taarifa na kumpinga mkuu wa mkoa kuanza kutoa hotuba yake katika mkutano huo hadi asikilizwe kwanza.

Dk Kebwe alimshauri mwananchi huyo, aliyekuwa na jazba kuwa asubiri kwanza awahutubie na baadaye atapewa muda wa kuuliza maswali, ama kusema kinachomsibu. Mwanamke huyo aliendelea kujibizana na mkuu wa mkoa, licha ya kutakiwa kukaa chini ili asubiri zamu yake.

Aliungana na kikundi cha watu wachache akiwemo mzee Mholeri, aliyesimama na kumtaka mkuu wa mkoa amsikilize kwanza; na kama hataki wao wako tayari kuondoka wote, wabakie wao wenyewe.

Kitendo hicho kilimfanya mkuu wa wilaya hiyo, kuwaamuru Polisi kumkamata mwanamke huyo na mzee Mholeri na wengine wanaoendeleza fujo katika mkutano huo.

Hata hivyo, kikundi cha watu wachache ambao baadhi yao hawapo katika vitongoji vinavyoguswa na mradi wa uchimbaji wa madini ya kinywe, ndio wenye kuendeleza fujo kila mkutano unapoitishwa; na kwa siku hiyo hawakuvumiliwa tena na mkuu wa wilaya.

“Askari hebu mkamateni huyo mzee na mama aliyesimama hapo na watu wengine wanaonekana kuleta fujo…anayetaka kuondoka aondoke. Wana Epanko ambao mpo tayari kutusikiliza mbaki, mtapewa muda wa kuuliza maswali na yule asiyetaka kutusikiliza na aondoke,” alisema Kassema.

Hata hivyo, baada ya kukamatwa vinara hao, wananchi waliokuwepo mkutanoni hapo, walishangilia kwa nguvu wakimpongeza mkuu wa wilaya kwa kuwatia mbaroni. Walidai kuwa watu hao ni wachochezi wakubwa na wanatumiwa na watu wa mjini Mahenge na Dar es Salaam, kukwamisha kazi ya uwekezaji wa mradi huo mkubwa.

“Watu hawa wamekuwa wakivuruga matarajio ya wanufaika wa mradi huu, tena baadhi yao hawamo ndani ya mradi, lakini wanatumiwa na watu wa nje kuchochea vurugu na kuwatishia wananchi wanaowaona wana mwelekeo wa kuupokea mradi huu,” alisema mmoja wa wakazi hao.

“Hawa watu wachache wamediriki kuchoma moto daraja na kuvunja ofisi ya mradi hapa kijijini…leo tumefurahi na hali itakuwa shwari,” aliongeza mkazi huyo, ambaye hakupenda jina lake litajwe gazetini akiwa kwenye mkutano huo.

Dk Kebwe alisema serikali ya mkoa na wilaya inawatambua wachochezi ambao wanawatishia maisha wananchi wema, na kwa kipindi chote hicho waliachwa kwa kutambua watajirekebisha tabia zao.

“Mholeri amejileta mwenyewe …huyo alishawekwa kizuizini na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kutokana na vitendo vya uchochezi ….amekaa muda mrefu ndani, lakini hajajirekebisha na leo tumempata na tutamweka ndani na wenzake kwa uchochezi,” alisema mkuu wa mkoa.

“Hii ni mara ya tatu kuleta fujo kabla ya kuanza kwa mkutano …amezoea, lakini leo hatuwezi kumwachia, lazima atambue serikali ipo na inatekeleza wajibu wake,” alisema. Alisema watu waungwana, siku zote wanapenda kutatua kero na hoja zao kupitia mikutano na majadiliano na si kwa njia ya vurugu na kuleta uchochezi kati ya wananchi na serikali yao.

Katika mkutano huo, alitoa fursa pana kwa wananchi wa kijiji hicho kuuliza maswali, kutoa maoni na mapendekezo ambayo alichukuliwa na watendaji wa serikali ya wilaya na mkoa na Kampuni ya TanzGraphite (TZ) Limited kwa ajili ya utekelezaji na kupatiwa majawabu ya msingi.

Katika hatua nyingine, TanzGraphite inawagharimia vijana 32 wa kutoka Ulanga wakiwemo wa kijiji cha Epanko katika masomo ya ufundi ukiwemo wa sekta ya madini.

Meneja wa Uhusiano na Maendeleo ya Jamii wa Kampuni hiyo, Bernard Mihayo alisema vijana hao wanapatiwa mafunzo hayo katika Chuo cha Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) kwa lengo la kuwatumia siku za usoni wakati wa shughuli za mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya kinywe ‘Graphite’ ili kukuza uchumi wao na wafamilia.

204 Comments

 1. I as well as my pals appeared to be looking at the great hints located on your web page while all of a sudden got an awful feeling I never expressed respect to the site owner for them. All the young boys appeared to be absolutely very interested to read through them and have in effect surely been making the most of them. Thank you for getting well accommodating and for deciding upon these kinds of brilliant subject areas millions of individuals are really desirous to be aware of. Our honest apologies for not expressing gratitude to earlier.

 2. Hello! This is my first comment here so I just wanted to give a quick shout out and tell you I truly enjoy reading through your posts. Can you suggest any other blogs/websites/forums that go over the same subjects? Thanks a ton!

 3. I like what you guys are up too. Such smart work and reporting! Keep up the excellent works guys I have incorporated you guys to my blogroll. I think it will improve the value of my site 🙂

 4. I have been browsing on-line more than three hours today, yet I never discovered any attention-grabbing article like yours. It’s beautiful price enough for me. In my opinion, if all website owners and bloggers made just right content as you did, the net will likely be a lot more helpful than ever before. “It’s all right to have butterflies in your stomach. Just get them to fly in formation.” by Dr. Rob Gilbert.

 5. I haven’t checked in here for a while since I thought it was getting boring, but the last several posts are good quality so I guess I’ll add you back to my everyday bloglist. You deserve it my friend 🙂

 6. Have you ever thought about writing an e-book or guest authoring on other websites? I have a blog based upon on the same topics you discuss and would love to have you share some stories/information. I know my visitors would enjoy your work. If you’re even remotely interested, feel free to send me an email.

 7. Its like you read my mind! You seem to know a lot about this, like you wrote the book in it or something. I think that you can do with a few pics to drive the message home a bit, but other than that, this is fantastic blog. A fantastic read. I will certainly be back.

 8. After study a few of the weblog posts on your website now, and I really like your means of blogging. I bookmarked it to my bookmark website record and can be checking again soon. Pls take a look at my website as properly and let me know what you think.

 9. Thanx for the effort, keep up the good work Great work, I am going to start a small Blog Engine course work using your site I hope you enjoy blogging with the popular BlogEngine.net.Thethoughts you express are really awesome. Hope you will right some more posts.

 10. Thanks for sharing superb informations. Your web site is very cool. I’m impressed by the details that you?¦ve on this blog. It reveals how nicely you perceive this subject. Bookmarked this website page, will come back for extra articles. You, my friend, ROCK! I found just the information I already searched everywhere and just couldn’t come across. What a perfect web-site.

 11. There are some of you out there who probably haven’t heard of http://www.camgirl.pw This is one of those must see sites. It’s full of extremely attractive ladies. You’re going to want to put down your sandwich when visiting this site. It’s impossible to focus on anything but the babes they have to offer.

 12. “Just desire to say your article is as astonishing. The clarity in your post is just nice and i could think you’re an expert in this subject. Fine with your permission let me to grasp your RSS feed to stay up to date with approaching post. Thanks one million and please keep up the enjoyable work.”

 13. Sick and tired of being bored? There’s nothing at all good to watch on TV these days. How many cat videos can you watch at YouTube? What you really want is some live adult entertainment. That’s what http://www.camgirl.pw is all about. It’s 24/7 excitement like you’ve never seen before. Check it out and tell a friend. Something this good needs to be shared.

 14. Good – I should certainly pronounce, impressed with your website. I had no trouble navigating through all tabs as well as related information ended up being truly easy to do to access. I recently found what I hoped for before you know it in the least. Quite unusual. Is likely to appreciate it for those who add forums or anything, web site theme . a tones way for your client to communicate. Nice task..

 15. There are some attention-grabbing time limits in this article however I don’t know if I see all of them center to heart. There may be some validity however I will take hold opinion till I look into it further. Good article , thanks and we wish extra! Added to FeedBurner as well

 16. Very nice post. I just stumbled upon your weblog and wished to say that I have truly enjoyed surfing around your blog posts. In any case I will be subscribing to your feed and I hope you write again soon!

 17. After research a number of of the blog posts in your web site now, and I really like your approach of blogging. I bookmarked it to my bookmark website list and will likely be checking back soon. Pls check out my web site as well and let me know what you think.

 18. I really like your blog.. very nice colors & theme. Did you create this website yourself or did you hire someone to do it for you? Plz respond as I’m looking to construct my own blog and would like to know where u got this from. cheers

 19. I do not even know how I ended up here, but I thought this post was great. I don’t know who you are but certainly you are going to a famous blogger if you are not already 😉 Cheers!

 20. Hello! Someone in my Myspace group shared this website with us so I came to take a look. I’m definitely loving the information. I’m bookmarking and will be tweeting this to my followers! Excellent blog and outstanding design and style.

 21. I simply wanted to send a word to be able to appreciate you for those amazing ways you are writing at this site. My time consuming internet lookup has at the end of the day been honored with good quality details to exchange with my guests. I would mention that we site visitors actually are very blessed to dwell in a remarkable website with very many perfect individuals with beneficial solutions. I feel somewhat fortunate to have seen your web pages and look forward to many more thrilling minutes reading here. Thanks a lot once again for a lot of things.

 22. Howdy I am so glad I found your web site, I really found you by accident, while I was researching on Digg for something else, Anyhow I am here now and would just like to say many thanks for a incredible post and a all round enjoyable blog (I also love the theme/design), I don’t have time to browse it all at the minute but I have book-marked it and also added your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a lot more, Please do keep up the fantastic job.

 23. Admiring the hard work you put into your blog and detailed information you offer. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed material. Great read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 24. Throughout this awesome pattern of things you get a B+ for effort. Where you lost everybody was first on all the particulars. You know, it is said, the devil is in the details… And it could not be much more accurate at this point. Having said that, allow me inform you exactly what did deliver the results. The authoring is actually incredibly persuasive which is most likely why I am making an effort in order to opine. I do not make it a regular habit of doing that. Next, even though I can notice a leaps in reason you make, I am not necessarily convinced of how you seem to connect the ideas which inturn help to make your conclusion. For right now I will yield to your position however trust in the future you connect the dots much better.

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*