Serikali yahoji vigezo vya usomi vyuo vikuu

stella-manyanya_210_120

SERIKALI imeonesha hofu yake juu ya vigezo wanavyopitia wasomi kupata uprofesa na udaktari na kuwataka wakuu wa vyuo vikuu nchini kukaa na kutafakari kama vigezo hivyo vinapitiwa kikamilifu.

Kauli hiyo ilitolewa juzi na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Stella Manyanya wakati akifunga mkutano wa wadau wa elimu kutoka vyuo vikuu vya umma na vyuo vikuu binafsi nchini.

Alisema kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la vigezo vya wakufunzi na kuongeza kuwa, katika hilo inaonekana kila chuo kina vigezo vyake, hivyo ni wakati wa kushirikiana na wizara ya elimu ili kuangalia vigezo katika ngazi zote kupata uprofesa au udaktari.

“Inawezekana chuo kimoja kikawa na vigezo tofauti ukiwa katika nafasi hiyo, lazima kuwe na mtiririko mzuri kuanzia shule na vyuo na serikali itaunga mkono ili kukidhi vigezo hivyo. “Rais John Magufuli, anaguswa sana juu ya vyuo vikuu vingi visivyo na sifa, tumeshapokea maelekezo na Tume ya Vyuo Vikuu inatakiwa ihakikishe inasimamia kwa kiasi kikubwa ubora wa elimu hapa nchini na vyuo vyote vinavyoendeshwa bila kuzingatia ubora lazima wafahamu Tanzania sio jalala ina wenyewe na vitachukuliwa hatua bila kusita,” alisema.

Sambamba na hilo, alitaka fedha zinazotengwa na serikali kwa ajili ya tafiti mbalimbali zitumike kama ilivyokusudiwa na kuwe na mrejesho ya matumizi ya fedha hizo. Alitoa wito kwa wadau wa elimu nchini kutoka vyuo vya serikali na vyuo binafsi ili kuangalia changamoto na kuweka mikakati itakayosaidia katika kuboresha elimu.

“Tunahitaji ushirikiano kati ya serikali na vyuo na kati ya chuo na chuo na kati ya chuo na wanafunzi ili watendewe haki katika kupata elimu,” alisema na kuongeza kuwa, vyuo vingi vya binafsi vina majengo na kuwataka viongozi katika vyuo vya serikali kuwa wabunifu ili miundombinu ya majengo iwe katika ubora hata kwa kufanya ukarabati mdogo au kupaka rangi.

Alisema pia angependa kuona wanawake wanashika nafasi za juu za uongozi katika vyuo, kwani kwenye maeneo mengine mwanamke akitaka kupandishwa cheo anawekewa vikwazo.

66 Comments

  1. “Hello there, I discovered your website by the use of Google even as searching for a related topic, your site got here up, it looks great. I have bookmarked it in my google bookmarks.”

  2. One thing is that while you are searching for a education loan you may find that you’ll need a co-signer. There are many circumstances where this is correct because you may find that you do not have a past history of credit so the lender will require you have someone cosign the loan for you. Thanks for your post.

  3. I have to express some thanks to this writer just for bailing me out of this type of matter. Just after surfing through the internet and coming across things that were not pleasant, I figured my life was gone. Living devoid of the approaches to the problems you have sorted out as a result of the website is a crucial case, and ones that could have in a wrong way damaged my entire career if I hadn’t encountered your blog. Your own mastery and kindness in maneuvering all the things was important. I am not sure what I would have done if I had not come across such a stuff like this. It’s possible to at this point look ahead to my future. Thank you very much for this reliable and result oriented help. I will not think twice to propose your site to anyone who should have direction about this subject.

  4. I think other web site proprietors should take this web site as an model, very clean and wonderful user genial style and design, as well as the content. You’re an expert in this topic!

  5. I carry on listening to the news talk about receiving free online grant applications so I have been looking around for the best site to get one. Could you advise me please, where could i get some?

  6. “I am commenting to let you understand of the really good experience my cousin’s princess gained visiting yuor web blog. She learned several things, which include what it’s like to possess an awesome giving spirit to get certain people effortlessly master chosen tricky matters. You really did more than our own expectations. Many thanks for providing those insightful, healthy, educational and as well as cool thoughts on your topic to Janet.”

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*